Gurudumu La Uchumi
Kwanini Bostwana imefanikiwa kwenye sekta ya madini ?
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:08:43
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Kwenye sehemu yetu ya pili na ya mwisho kuhusu namna nchi ya Bostwana ilivyopiga hatua kwenye sekta ya madini na uchumi wake kwa kutegemea Almasi, tutasikia kutoka kwa wadau mbalimbali akiwemo mwekezaji binafsi Siddarth Gothi , Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo KGK Bostwana, na mchambuzi binafsi wa siasa, Marisa Lourenco, kutoka Afrika Kusini kuhusu mafanikio hayo lakini pia changamoto katika sekta hiyo.