Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 114:58:20
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Mejja awapa wagenge chanjo
27/07/2022 Duração: 09minNi takriban miaka mbili tangu tamasha zilipo pigwa marufuku, katika juhudi yakudhibiti usambaaji wa maambukizi ya UVIKO-19.
-
SBS Swahili Mubashara 26 Julai 2022
27/07/2022 Duração: 49minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
SBS Swahili Mubashara 24 Julai 2022
27/07/2022 Duração: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Ni mbinu gani bora yakupasha joto nyumba yako nchini Australia?
26/07/2022 Duração: 11minKuchagua mfumo sahihi wakupasha joto katika nyumba yako, huwa rahisi unapojua vifaa ambavyo vipo.
-
Taarifa ya Habari 26 Julai 2022
26/07/2022 Duração: 15minSerikali ya Albanese yataka muswada unao husu mabadiliko ya tabianchi, kuwa ushindi wake wa kwanza bungeni.
-
Je! kipi bora, kuwakilisha nchi yako au kujitaftia maslahi yako binafsi?
24/07/2022 Duração: 13minWanariadha wengi wenye asili ya Kenya, wana endelea kujipata kwenye njia panda, wengi wakikabiliwa na uamuzi wakuwakilisha nchi zao nakusalia na pato dogo au kujitafutia riziki zao binafsi katika mataifa mengine.
-
Taarifa ya Habari 24 Julai 2022
24/07/2022 Duração: 18minSerikali ya shirikisho kuwasilisha miswada 18 katika wiki ya kwanza ya vikao vya bunge la 47.
-
Djuma "maandalizi yetu kwa mashindano ya mwisho wa mwaka yana endelea vizuri"
20/07/2022 Duração: 04minKundi la vijana kutoka jamii yenye asili ya Jamhuri yakidemokrasia ya Congo wanao ishi mjini Sydney, lina ongeza kasi ya maandalizi kwa mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu ya mwisho wa mwaka.
-
SBS Swahili Mubashara 19 Julai 2022
20/07/2022 Duração: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Fikiri kwa makini kabla upige simu kwa 000
19/07/2022 Duração: 13minJeshi la polisi lina wahamasisha wa Australia watumie namba ya (000) kwa dharura tu, na wawasiliene na polisi kwa matukio mengine yasiyo ya dharura kupitia namba zingine za huduma.
-
Taarifa ya Habari 19 Julai 2022
19/07/2022 Duração: 16minMamlaka waongeza juhudi kuhakikisha usalama wa wanafunzi dhidi ya milipuko ya UVIKO-19, baada ya shule kufunguliwa tena kwa mhula wa tatu.
-
Bw Elongo afunguka kuhusu huduma za ASSIDA
18/07/2022 Duração: 07minShirika la ASSIDA hutoa huduma kwa jamii zawakimbizi na wahamiaji mjini Sydney, Australia.
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2022
17/07/2022 Duração: 18minMfumo wa huduma ya afya wa Victoria wapigwa jeki kwa uwekezaji wa zaidi ya dola milioni mia moja.
-
SBS Swahili Mubashara 12 Julai 2022
13/07/2022 Duração: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Monga:"mimi ni daraja kati ya familia, wanafunzi na shule"
13/07/2022 Duração: 09minMoja ya changamoto kubwa ambayo hukabili familia nyingi zinazo wasili nchini Australia kama wakimbizi, ni jinsi yakuwasiliana na shule za watoto wao kufuatilia maendeleo yao au panapo kuwa tatizo.
-
Kenya yaongoza njia kuhifadhi joto la chanjo
12/07/2022 Duração: 07minMoja ya matatizo makubwa yakupata chanjo ya UVIKO-19 katika maeneo ya vijiji, vya nchi zinazo endelea niku hifadhi chanjo hizo kwenye joto sahihi.
-
Taarifa ya Habari 12 Julai 2022
12/07/2022 Duração: 18minKongamano la ajira la serikali linatazamia wahamiaji, wajaze mapengo mhimu ya kazi ila mweka hazina amesema hiyo siyo suluhu pekee.
-
Wapangaji wakabiliana na ongezeko ya shinikizo kupata nakuendelea kuishi ndani ya nyumba
10/07/2022 Duração: 12minTakwimu mpya zina onesha watu wanao kodi nyumba, wako chini ya ongezeko ya shinikizo kupata nakubaki ndani ya nyumba za bei nafuu.
-
Taarifa ya Habari 10 Julai 2022
10/07/2022 Duração: 20minWawakilishi wa China na Australia wakutana kuanza kukarabati uhusiano kati ya nchi hizo mbili, China ikilaumu serekali za zamani kwa mvutano kati ya nchi yake na Australia.
-
Eshima "Ukitumia kipaji chako utavuna matunda mazuri'
06/07/2022 Duração: 12minVijana wengi katika jamii zenye asili ya Afrika ya kati nchini Australia, wame anza kuacha kazi zakuajiriwa nakufungua biashara zao binafsi.