Alfajiri - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 24:59:11
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Episódios

  • Uchaguzi wa Botswana wafanyika huku tume ya uchaguzi ikilalamikiwa - Oktoba 31, 2024

    31/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Bara la Afrika bado linakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa - Oktoba 30, 2024

    30/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Uchaguzi wa Botswana kufanyika Jumatano - Oktoba 29, 2024

    29/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Alfajiri - Oktoba 28, 2024

    28/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Rais wa Zambia Hakainde Hichilema akosolewa kwa kusimamisha kazi majaji watatu wa Mahakama ya Katiba. - Oktoba 25, 2024

    25/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Maelfu ya wakimbizi wa Syria waliotoroka mapigano nchini mwao miaka ya nyuma walazimika kurejea nyumbani kufuatia vita vya Lebanon. - Oktoba 24, 2024

    24/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi wa wamarekani milioni 15 tayari wamepiga kura za mapema wiki mbilli kabla ya siku ya uchaguzi kufika. - Oktoba 23, 2024

    23/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya watu 70,000 wakoseshwa makazi kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad kutokana na mafuriko. - Oktoba 22, 2024

    22/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Viongzi wa upinzani wa Msumbiji waitisha maandamano ya Jumatatu kulalamikia uchaguzi uliopita. - Oktoba 21, 2024

    21/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Baraza la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kwenye wadhifa wake naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua - Oktoba 18, 2024

    18/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Hatma ya Makamu wa Rais wa Kenya kujulikana baada ya Seneti kukamilisha zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani naye - Oktoba 17, 2024

    17/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Watoto milioni 10 katika nchi nne za Afrika Magharibi na Afrika ya Kati waendi shule kutokana na mafuriko makubwa yaliyokumba kanda hiyo - Oktoba 16, 2024

    16/10/2024 Duração: 29min
  • Kenya inaendeleza mradi wake wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu - Oktoba 15, 2024

    15/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Israel inawataka wanajeshi wa Umoja wa Mataifa kuondoka katika maeneo ya vita huko Lebanon - Oktoba 14, 2024

    14/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Swala la vimbunga latawala kwenye kampeni za wagombea urais Marekani. - Oktoba 11, 2024

    11/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Maoni tofauti yatolewa na wakazi wa Congo baada ya hotuba ya Rais wao Felix Tshisekedi kwenye Baraza la UN mjini New York. - Oktoba 10, 2024

    10/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Kesi za maambukizi ya kipindupindu zaongezeka maradufu nchini Sudan - Oktoba 09, 2024

    09/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Baadhi ya wakazi wa Rwanda walalamikia gharama kubwa kwenye mchakato mzima wa mazishi. - Oktoba 08, 2024

    08/10/2024 Duração: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya wahamjiaji 900 waingia Uingereza kwa siku moja wakitokea Ufaransa kwa njia ya bahari. - Oktoba 07, 2024

    07/10/2024 Duração: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Ugonjwa wa Mpox umeua watu 866 barani Afrika mwaka huu - Oktoba 04, 2024

    04/10/2024 Duração: 29min

Página 2 de 3