Sinopse
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.
Episódios
-
Somo 26 – Neno la kichawi
18/03/2009 Duração: 14minJe, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 25 – Ua la samawati
18/03/2009 Duração: 14minHadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.
-
Somo 24 – Luther katika ngome Wartburg
18/03/2009 Duração: 14minNamna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)
-
Somo 23 – Ngano ya Barbarossa
18/03/2009 Duração: 15minHadithi ya Kaizari mwenye ndevu nyekundu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (II)
-
Somo 22 – Thüringen: Moyo wa kijani
17/03/2009 Duração: 14minMkoa unajitangaza...Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 21 – Makaa – "dhahabu nyeusi"
17/03/2009 Duração: 14minHistoria ya kifaa maalumu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (VI): Vitenzi vyenye hali ya sharti
-
Somo 20 – "Brocken ni Mjerumani"
17/03/2009 Duração: 14minHadithi ya mlima na wachawi wake... Muhtasari wa sarufi: Kulinganisha kwa so...wie au als
-
Somo 19 – Sachsen-Anhalt: Maumbile – Viwanda – Dini
17/03/2009 Duração: 15minMkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 18 – Kaure – "dhahabu nyeupe"
17/03/2009 Duração: 14minHistoria ya kifaa maalumu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (I)
-
Somo 17 – Matembezi kwa miguu katika Leipzig
17/03/2009 Duração: 14minDr. Thürmann anamwonyesha Andreas mji alikozaliwa... Muhtasari wa sarufi: muundo wa kulinganisha wa vivumishi vya sifa
-
Somo 16 – Matatizo ya kimazingira
17/03/2009 Duração: 13minMjini Leipzig: Andreas anamtembelea Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi: Vitendo jirejee (II)
-
Somo 15 – Sachsen: Muziki na viwanda
17/03/2009 Duração: 13minMkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi:: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 14 – Kuishi katika nyumba za mabamba ya saruji:
17/03/2009 Duração: 14minRipoti ya Andreas: Watu wanasimulia maisha yao katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi:Vitendo jirejee (I)
-
Somo 13 – Kilabu ya wapigaji makasia
17/03/2009 Duração: 13minMsichana anahadithia juu ya maisha katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi: Kitendo chenye hali ya sharti (würde + kitenzi jina)
-
Somo 12 – Klaus Störtebecker
17/03/2009 Duração: 14minHadithi ya haramia maarufu... Muhtasari wa sarufi:: Hali ya kutazamia ya vitendo vya utaratibu
-
Somo 11 – Kisiwa cha Rügen
17/03/2009 Duração: 15minMaumbile ya kupendeza – na makampuni yenye tamaa... Muhtasari wa sarufi: Hali ya kutazamia kwa haben na sein
-
Somo 10 – Mecklenburg-Pomerania ya Magharibi
17/03/2009 Duração: 14minMkoa unajitangaza: Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 09 – "Mchawi wa mitishamba"
17/03/2009 Duração: 13minKandoni mwa njia: Andreas anakutana na bibi wa ajabu... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyofuatana na vihusishi maalumu damit, davon
-
Somo 08 – Studio za UFA huko Babelsberg
17/03/2009 Duração: 14minHadithi kuhusu kampuni ya Kijerumani yenye maajabu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (V): Vitenzi tamati vinavyoanzia kwa damit
-
Somo 07 – Jamii ya tamaduni nyingi
17/03/2009 Duração: 14minHadithi ya Mfalme mkarimu wa Prussia... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (IV): Vitenzi tamati