Voa Express - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 9:59:38
- Mais informações
Informações:
Sinopse
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Episódios
-
VOA Express - Mei 17, 2024
17/05/2024 Duração: 30minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanasheria wa Tanzania Anna Henga aeleza kile wanaharakati wanataka serikali ifanye kuboresha sheria kuhusu ukatili wa kijinsia. - Mei 16, 2024
16/05/2024 Duração: 29minMwanasheria wa Tanzania Anna Henga aeleza kile yeye na wanaharakati wengine wataka serikali ifanye kuboresha sheria kuhusu ukatii wa kijinsia.
-
VOA Express - Mei 15, 2024
15/05/2024 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ndogondogo - Mei 14, 2024
14/05/2024 Duração: 29minVijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ndogondogo
-
Vijana wanaovua samaki kutoka ziwa Victoria walalamikia kuzorota kwa biashara kutokana na mafuriko - Mei 13, 2024
13/05/2024 Duração: 29minVijana wanaovua samaki kutoka ziwa Victoria walalamikia kuzorota kwa biashara kutokana na mafuriko
-
Kijana mkimbizi kutoka kambi ya Kakuma nchini Kenya anaelezea maisha ya vijana katika kambi za wakimbizi - Mei 09, 2024
09/05/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wanawake Afrika mashariki wanaelezea umuhimu ikiwemo faida katika matumizi ya nishati mbadala. - Mei 08, 2024
08/05/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Kansela wa masuala ya watoto anaelezea namna watoto wanavyoweza kuelimishwa ili kuepuka matukio yanayowashawishi kuingia katika ngono. - Mei 07, 2024
07/05/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana Miraji na Khadija wana maoni mseto kuhusu ndoa za kutafutiwa na zile ambazo vijana wanajitafutia wao wenyewe. - Mei 06, 2024
06/05/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Shule kuendelea kufungwa Kenya kutokana na mafuriko - Mei 03, 2024
03/05/2024 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Changamoto ya vijana kutaka kuingia kwenye sekta ya burudani kama njia ya kujiajiri - Mei 02, 2024
02/05/2024 Duração: 29min -
Baadhi ya vijana wa Tanzania na Uganda wanaelezea hali ya fursa na changamoto za ajira zilizopo katika maadhimisho la siku ya wafanyakazi. - Mei 01, 2024
01/05/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Madaktari bingwa wanatarajiwa kuwasili Morogoro nchini Tanzania kufanya uchunguzi na kutibu maradhi mbalimbali kwa wakaazi katika mkoa huo. - Aprili 30, 2024
30/04/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana waeleza iwapo mitandao ya kijamii imesababisha baadhi yao kuishi maisha feki, ila hali wanateseka. - Aprili 29, 2024
29/04/2024 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Kongamano la kimataifa la kidijitali la Connected Africa Summit lamalizika Nairobi, na kupendekeza mengi yatakayonifaisha vijana. - Aprili 26, 2024
26/04/2024 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Dunia inaadhimisha siku ya Malaria kwa kauli mbiu "Kuharakisha mapambano dhidi ya Malaria kwa dunia yenye usawa zaidi". - Aprili 25, 2024
25/04/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Edwik anaeleza mafunzo aliyopata ya kuwalinda watoto wakati wa majanga katika warsha iliyoandaliwa na Raising Up Friendship ya Tanzania. - Aprili 24, 2024
24/04/2024 Duração: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Je ni njia ipi inayofaa zaidi katika kutoa ushauri nasaha? Ni ya moja kwa moja au ya kimitandao? Mtaalam atoa maoni. - Aprili 22, 2024
22/04/2024 Duração: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.