Informações:
Sinopse
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episódios
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
07/05/2024 Duração: 10minMafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?
-
-
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
30/04/2024 Duração: 10minViongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia
-
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
30/04/2024 Duração: 10minUkanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa
-
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
25/04/2024 Duração: 09minUmoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.
-
Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali
24/04/2024 Duração: 09minHivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato
-
Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo
23/04/2024 Duração: 09min -
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
23/04/2024 Duração: 09minUmoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.
-
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/2024 Duração: 09min -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
26/03/2024 Duração: 09minKwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?
-
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
20/03/2024 Duração: 10minMamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake
-
-
-
Kila Ijumaa ni nafasi kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili
15/03/2024 Duração: 10minKila Ijumaa una nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya makala Habari Rafiki, kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Juma hili haya ni baadhi ya maoni yako.
-
Kenya : Yasitisha mpango wa kutuma polisi Haiti
13/03/2024 Duração: 09minKenya imetangaza kusitisha mpango wa kutuma polisi wake 1000 nchini Haiti baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Ariel Henry. Hata hivyo, inasema mpango huo utaendelea baada ya kupatikana kwa serikali mpya.Unazungumzia vipi uamuzi huu wa Kenya ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.
-
Dunia: Mwezi mtukufu wa Ramadhan waanza rasmi
12/03/2024 Duração: 09minWaumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa. Serikali zetu zifanye nini kupunguza mfumko wa bei za bidhaa? skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako